Mama mkweKila rakheri mkuu, nilipata kazi kupitia hili jukwaa.[emoji122]
Wewe ni demu, yeye siyo.Kila rakheri mkuu, nilipata kazi kupitia hili jukwaa.👏
1) I really hate hili jina "demu" kuwa na adabu kidogo.Wewe ni demu, yeye siyo.
Hawezi kuwa kama wewe.
Hello Mkwe, hujambo!Mama mkwe
Sijambo shikamooHello Mkwe, hujambo!
Whether you hate it or not, hating it has nothing to do with it's inexistence.1) I really hate hili jina "demu" kuwa na adabu kidogo.
2) unamaanisha wadada pekee ndiyo wanaopata kazi? Hiyo tofauti ni kwanini? Ushawahi kuomba kazi humu hukupata sababu ya jinsia??
Ok it has nothing to do but atleast now you know it's not a good name for calling someone. Next time you'll be careful.Whether you hate it or not, hating it has nothing to do with it's inexistence.
Anyway aendelee kuomba kazi, maana atapata kama wewe ulivyopata.
Hari na hali, mwanasheria, unaelewa ni vitu viwili tofauti? Can, you please, beyond reasonable doubt, tueleze unamaanisha ipi? Umeshapoteza kesi tayari. Duh, kazi ipo.Habari ndugu zangu.
Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Sheria kutoka Chuo kikuu kimoja hapa Tanzania mwaka 2020/2021.
Nipo mtaani kwa sasa lakini hari imekuwa ngumu sana kwani sijapata sehemu ya kujitolea au ajira ila nipate kulipa baadhi ya bills zinazonikabili.
Nimekuja kwenu ndugu zangu nikiamini mnaweza nisaidia ajira/kujitolea na mimi niweze songesha gurudumu la maisha.
Nipo tayari kufanya kazi harali ambayo sijasomea ili mradi nifundishwe namna ya kuifanya vema kwani ninaweza fundishika kwa haraka, Pia nikipata Lawfirm kwa upande wa Sheria nitashukuru sana.
Ujuzi wangu
Kutumia Computer
Kuongea Kingereza/Kiswahili
Uandishi wa habari (sijasomea)
Kwa heshima na taadhima ninaomba msaada wenu wana JF
Shukrani
Nipo Dar es salaam
Na iwe ivyo kwangu piaKila rakheri mkuu, nilipata kazi kupitia hili jukwaa.👏
SawaJifunze uandishi mzuri..vinginevyo bado una safari ndefu..zaidi Mungu akupe hitaji la moyo wako.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nimekosea ila nazani nimeelewekaHari na hali, mwanasheria, unaelewa ni vitu viwili tofauti? Can, you please, beyond reasonable doubt, tueleze unamaanisha ipi? Umeshapoteza kesi tayari. Duh, kazi ipo.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Amin mkuuKila la kheri mkuu.
Amen, kila rakheri.Na iwe ivyo kwangu pia