Sukuma gal
Member
- Apr 13, 2021
- 30
- 32
Hawa huwa wanaingiliana na watu wa social work, community development, sociology. Kazi wanazofanya ni maendeleo ya jamii, ustawi wa jamii, watendaji wa kata, washauri nasaha, waratibu wa malezi ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kazi za uelimishaji na uhamasishaji wa magonjwa kama vile ukimwi, malaria, covid 19, n.k. Usuruhishi wa migogoro ya kifamilia, kijamii n.k. Kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali ndio huwatumia sana watu hawa lkn pia wanaweza hata kuanzisha mashirika as NGO'sKwanii hy sosholojia ndioo mnapaswa kufanya mashirika gani. Na ni kazi zipii
Na hr pia wanafanya kazi izoHawa huwa wanaingiliana na watu wa social work, community development, sociology. Kazi wanazofanya ni maendeleo ya jamii, ustawi wa jamii, watendaji wa kata, washauri nasaha, waratibu wa malezi ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kazi za uelimishaji na uhamasishaji wa magonjwa kama vile ukimwi, malaria, covid 19, n.k. Usuruhishi wa migogoro ya kifamilia, kijamii n.k. Kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali ndio huwatumia sana watu hawa lkn pia wanaweza hata kuanzisha mashirika as NGO's
Best wishes
💯Hawa huwa wanaingiliana na watu wa social work, community development, sociology. Kazi wanazofanya ni maendeleo ya jamii, ustawi wa jamii, watendaji wa kata, washauri nasaha, waratibu wa malezi ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kazi za uelimishaji na uhamasishaji wa magonjwa kama vile ukimwi, malaria, covid 19, n.k. Usuruhishi wa migogoro ya kifamilia, kijamii n.k. Kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali ndio huwatumia sana watu hawa lkn pia wanaweza hata kuanzisha mashirika as NGO's