Nina shahada ya ualimu, natafuta kazi itakayonipatia mtaji

Nina shahada ya ualimu, natafuta kazi itakayonipatia mtaji

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
508
Reaction score
788
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza,

Nimejaribu kutafuta kazi katika fani yangu ya uwalimu, kwani nimehitimu shahada ya ualimu mwaka jana katika taasisi kubwa tu hapa nchini lakini mpaka sasa hivi bado sijapata kazi.

Nimekuja kwenu wana JF kwani hapa kuna watu tofauti tofauti, hivyo naomba mtu yoyote mwenye kazi hata iwe tofauti na fani yangu, iwe ya kiwandani na kazi zingine zinazoweza fanywa na binadamu basi nipo tayari ila iwe halali tu.

Wakuu naombeni mwenye kuwa na nafasi ya kazi anijuze nipo tayari pia napatikana Dar es Salaam umri wangu miaka 26.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuta shule iliyo karibu nawe, jitolee kufundisha bure, halafu anzisha tuition kwa bei nafuu kidogo, utajikusanyia mia mbili mia mbili kila siku. fundisha vizuri, jamii itakupromote.
 
Back
Top Bottom