pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Lookout the content,no one is perfect!Ni kweli umesomea ualimu mkuu? Chuo gani?
Its the mothers tongue effect!"Uwalimu"
"Nimeitimu"
"Tahasisi"
Ndalichako jiuzulu tu hamna unachosaidia nchi kama wasomi wenyewe ndio sisi.
Asante mkuutafuta shule iliyo karibu nawe, jitolee kufundisha bure, halafu anzisha tuition kwa bei nafuu kidogo, utajikusanyia mia mbili mia mbili kila siku. fundisha vizuri, jamii itakupromote.
UNAFUNDISHA MASOMO GANI?
U-perfect unaingiaje hapo? Hayo ni makosa ya makusudi kabisa, mtu aliyesomea fani ya ualimu Tena kwenye taasisi kubwa kabisa anafanyaje makosa Kama hayo? Ameiaibisha fani ya ualimu.