Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Wakuu.
Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.
Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?
Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Wewe mwenyewe unatumia ID feki,then at the same time unalalamika wengine kutumia...
Sijui moral authority hiyo unaitoa takoni?
Mkuu hii ni internet platform sio social club!
Ni internet space,watu hawaonani in physical form!
Elewa hilo
Yaelekea una crisis kutofautisha real offline life na blogospherical life!
Hujaona the digital divide,unashindwa kuona limit...
Binafsi,siwezi na wala sitakaa nionane na member yeyote humu kwa utambulisho wa aina yoyote!
Its too fvcken risky to do that....