Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Wakuu.

Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.

Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?

Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?

Wewe mwenyewe unatumia ID feki,then at the same time unalalamika wengine kutumia...

Sijui moral authority hiyo unaitoa takoni?

Mkuu hii ni internet platform sio social club!

Ni internet space,watu hawaonani in physical form!

Elewa hilo

Yaelekea una crisis kutofautisha real offline life na blogospherical life!

Hujaona the digital divide,unashindwa kuona limit...

Binafsi,siwezi na wala sitakaa nionane na member yeyote humu kwa utambulisho wa aina yoyote!

Its too fvcken risky to do that....
 
Naomba kukutana na wewe
 
Insta kwenyewe wanakimbianaga ujue. Huku ndo hatari hiyo. Unatongoza kumbe unatongoza kidume mwenzio
Ndo mana mi jf huwa simwamini mtu kwa kweli....humu unaweza ukawa unatongoza kumbe unatongoza ndugu yako or mtu anadanga kumbe anamdangia ndugu yake
 
Wakuu.

Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.

Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?

Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Kuna kipindi ninajiuliza, member wa JF kwa Tanzania nipo peke yangu tu?

Lakini sina haraka ya kukutana
 
Wenzako mpaka wachumba wamepata wengine wameoana kabisa
Wakuu.

Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.

Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?

Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…