Daaah.. Acha nije mwenyewe pm maana kufungua nimeshindwaHalafu badae unaanza kusononeka ume miss kuwa mtoto, Wakati mtu wa kukubabysha nipo kabisa willing and ready.
Wishing one day kuonana na wewe maeneo frani amazing, haaaaa interesting tukipata mishikaki kama ya mbwa hivi tukishushia na juice ya miwa.Mimi bado sijakutana na hata mmoja!
Wala sina wazo la kuonana na member humu!
Mbwa??[emoji23][emoji23][emoji23]Wishing one day kuonana na wewe maeneo frani amazing, haaaaa interesting tukipata mishikaki kama ya mbwa hivi tukishushia na juice ya miwa.
Yaaap na mishikaki ya paka ya pale buguruni ila inawekwa na tangawizi hivyo hupati ile harufu ya kim mbwa mbwa na kipaka paka. You can enjoy.Mbwa??[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo baby wangu, kuna vitu vitamu nimekuandalia, hutotamani kuwa mtoto tena bali utafurahia kuwa mwanamke anayependwa.. Sogea malkia ukabidhi moyo wako kwa mfalme uje udeke kama mwanamwali adekavyo kwa mumewe mtarajiwa. [emoji4]Daaah.. Acha nije mwenyewe pm maana kufungua nimeshindwa
Sema uje na ID yako ya zamani kwanza.Njoo baby wangu, kuna vitu vitamu nimekuandalia, hutotamani kuwa mtoto tena bali utafurahia kuwa mwanamke anayependwa.. Sogea malkia ukabidhi moyo wako kwa mfalme uje udeke kama mwanamwali adekavyo kwa mumewe mtarajiwa. [emoji4]
[emoji4][emoji4]mimi ndio niwe wa mwisho jamaniLeo kila mtu atajifanya hajakutana na watu humu jf kumbe ana list zake
Niliokutana nao inatosha kwakweli na sihitaji tena kuongeza wengine
Hivi kuna mchezo wa kubadili Id, kwanini?Sema uje na ID yako ya zamani kwanza.
hahahahahahah uwiiiiiii, niambie shost kwema huko? hahahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mbwa mkuu?!Wishing one day kuonana na wewe maeneo frani amazing, haaaaa interesting tukipata mishikaki kama ya mbwa hivi tukishushia na juice ya miwa.
Yaaap, nini tatizo? Kama hutumii tunaweza badilisha tu. UsijariMbona mbwa mkuu?!
Situmii MkuuYaaap, nini tatizo? Kama hutumii tunaweza badilisha tu. Usijari
Jamani jamani, proposal denied kweliSitumii Mkuu
Asante!
Naomba kukutana na wewe
Acha umbea nyau weee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnanichekeshaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona watu wanavyojikanisha kwa id za pembenii
Chungu cha ngapj vileeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kojoa boo.. pomb4 mbayaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nataka kojoaaa