Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Mimi bado sijakutana na hata mmoja!
Wala sina wazo la kuonana na member humu!
Wishing one day kuonana na wewe maeneo frani amazing, haaaaa interesting tukipata mishikaki kama ya mbwa hivi tukishushia na juice ya miwa.
 
Nimemuona mmoja juzi pale samaki samaki morogoro, ameingia na wenzie watatu, wakaagiza maji (1) na serengeti light (2). Baada ya dk 10 nikashangaa wanaanza kutoa bia kwenye begi walilokujanalo.

Kumbe jamaa walinunua bia zao mtaani huko kukwepa bei.

Nlimuona akitumia JF ila ckufahamu ni kwa ID ipi.

Nikawaza; "hivi JF c ndo kila mtu maisha mazuri, msomi, ana mkoko..." nikamuachia Allah
 
Daaah.. Acha nije mwenyewe pm maana kufungua nimeshindwa
Njoo baby wangu, kuna vitu vitamu nimekuandalia, hutotamani kuwa mtoto tena bali utafurahia kuwa mwanamke anayependwa.. Sogea malkia ukabidhi moyo wako kwa mfalme uje udeke kama mwanamwali adekavyo kwa mumewe mtarajiwa. [emoji4]
 
Sema uje na ID yako ya zamani kwanza.
 
Leo kila mtu atajifanya hajakutana na watu humu jf kumbe ana list zake

Niliokutana nao inatosha kwakweli na sihitaji tena kuongeza wengine
[emoji4][emoji4]mimi ndio niwe wa mwisho jamani
 
Sema uje na ID yako ya zamani kwanza.
Hivi kuna mchezo wa kubadili Id, kwanini?
Watu wanapiga sana matukio nini humu..
I am new here ndo kwanza na mwezi
ila fr you i ll reveal even my real life id
Am ready to risk it all baby.. [emoji6]
 
Back
Top Bottom