Nilisikia hivyo mimi...wewe you wish what??[emoji2]
Aw'really??Nionane nawe....
Yes pleaseAw'really??
Aw'really??
Sawa kaba'...Ni cheki tuyajenge....
Hajjat bado siku ngapi?Aw'really??
Hahaa sanchiiiii...Hajjat bado siku ngapi?
haha ahadi ni deni.
Japo nipo chimala- mbeya kwa sasa
Ntakuja ivo ivo
Sawa kaba'...
Hahaha nimeijia magunia karibu 200Hahaa sanchiiiii...
Weee...usinambie...mbarali nini hiyo???😀Hahaha nimeijia magunia karibu 200
Uje ushindwe kuniungisha tu.
Ndio ndio tena nipo igurusi- hapa soko la mchele; uji wa pilipili manga ndo nishaukosa ivo naumia mimi.Weee...usinambie...mbarali nini hiyo???😀
Yaani huna haja ya kukonda kisa uji wa pilipili manga...ukirudi utakuwepo kwa ajili yako😉hata ramadan ikiisha..Ndio ndio tena nipo igurusi- hapa soko la mchele; uji wa pilipili manga ndo nishaukosa ivo naumia mimi.
Hahaha Leo itabidi muda wa iftar nikutumie iyo menu uone navo kula. Yani mtu mwingine anaweza dhania na kufuru . Sinywi pombe, chini pia sio kivile. Sasa Mimi hela yangu ni kwenye chakula kizuri tu. Ujiandae pia siku nikijaYaani huna haja ya kukonda kisa uji wa pilipili manga...ukirudi utakuwepo kwa ajili yako😉hata ramadan ikiisha..
Njoo uonane na mm nipo makao makuu ya nchi IdodomyaWakuu.
Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.
Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?
Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Mm ni baba mchungajiSijui ni watu wa namna gani ..waheshimiwa , viongozi wa dini , freemasons , TISS ??!
Eti chini sio kiviiile😂wewe huyoo???lol em nitumie namm nione mapochopochoHahaha Leo itabidi muda wa iftar nikutumie iyo menu uone navo kula. Yani mtu mwingine anaweza dhania na kufuru . Sinywi pombe, chini pia sio kivile. Sasa Mimi hela yangu ni kwenye chakula kizuri tu. Ujiandae pia siku nikija
hahaha nilijua tu apo kwenye "chini" huwezi niamini: ngoja itaradadi magharibi ntakutumia ayo masapta sapta yani hata daku huwa naisahau.Eti chini sio kiviiile😂wewe huyoo???lol em nitumie namm nione mapochopocho
Wacha weeee...😋😋😋hahaha nilijua tu apo kwenye "chini" huwezi niamini: ngoja itaradadi magharibi ntakutumia ayo masapta sapta yani hata daku huwa naisahau.
Jana nikataka nijidai kukimoa chakula, hela yangu yote hii haiwezi enda ivi ivi nikajisemea; kilichonitokea nimelala kifudi fudi usiku mzima. Sitarudia tena.Wacha weeee...😋😋😋
Ukome na usirudie tenaa😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️Jana nikataka nijidai kukimoa chakula, hela yangu yote hii haiwezi enda ivi ivi nikajisemea; kilichonitokea nimelala kifudi fudi usiku mzima. Sitarudia tena.