Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Yaani huna haja ya kukonda kisa uji wa pilipili manga...ukirudi utakuwepo kwa ajili yako😉hata ramadan ikiisha..
Hahaha Leo itabidi muda wa iftar nikutumie iyo menu uone navo kula. Yani mtu mwingine anaweza dhania na kufuru . Sinywi pombe, chini pia sio kivile. Sasa Mimi hela yangu ni kwenye chakula kizuri tu. Ujiandae pia siku nikija
 
Wakuu.

Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.

Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?

Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Njoo uonane na mm nipo makao makuu ya nchi Idodomya
 
Hahaha Leo itabidi muda wa iftar nikutumie iyo menu uone navo kula. Yani mtu mwingine anaweza dhania na kufuru . Sinywi pombe, chini pia sio kivile. Sasa Mimi hela yangu ni kwenye chakula kizuri tu. Ujiandae pia siku nikija
Eti chini sio kiviiile😂wewe huyoo???lol em nitumie namm nione mapochopocho
 
Back
Top Bottom