Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Ungelipia ile get together party
 
Wakuu.

Sijawahi kukutana na mwanaJF mwenzangu yeyote yule toka nimejiunga hapa.

Najisikiaga vibaya sana tunatumia fake IDs. Why ? Kwanini wakuu ?

Mwenzangu uliwahi kukutana na mwanaJF yeyote jamani ?
Fanya kazi usiwaze uzezeta
 
Kuna jamaa nishawai kutana nae yeye aliniambia kuwa anatumia jamii forums lakini mimi nilisema sihijui hiyo site

#da vinci
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…