Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Nina shauku ya kukutana na mwanaJF mwenzangu

Hata jukwaani haonekani, itaouwa amerudi kwa id nyingine maana ile ni kongwe ila si kongwe. Sijui umenielewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Hata sielewi kabisaaa jamanii.... Kapotea ghafla tuu jamani
 
Utakuja kukutana nao tu mkuu...wengine haswa hawa watoto wakike wengine mashauzi kibao humu but ukikutana nao wabovu kichizi....nishawahi kutana nao baadh....wakiwa humu mashauzi utadhani wapo classic but kutana nao sasa...kuna comment huwa nikiziona humu nabaki kucheka tu
[emoji23][emoji23][emoji23] Eti wabovu kichizi lkn mashauzi kibao[emoji23][emoji23] shekhe wauwa bendi brother!
 
Back
Top Bottom