Nasumbuliwa na endometritis,nimetumia sindano aina ya powercef lkn tangu nilipoanza kutumia sijapata hedhi ya mwezi huu na pia kula yangu ni ya shida sana,nimekuwa mtu wa kuchukia chakula na pia nikila nakula kiasi kidogo sana najihisi nimeshiba au kuhisi kutapika...Naomba ushauri wenu juu ya hili.
Saratani ya endometriamu(saratani ya uterasi)
ni saratani inayotokana na endometriamu ( utando wa uterasi au tumbo la uzazi). Hii hutokana na ukuaji usio wa kawaida wa seli zenye uwezo wa kushambulia au kuenea katika sehemu zingine za mwili.
• Ishara ya kwanza mara nyingi huwa hali ya kutokwa na damu ukeniisiyohusishwa na hedhi ya kila mwezi.
• Dalili zingine zinajumuisha maumivu wakati wa kukojoa, maumivu wakati wa ngono au maumivu ya pelvisi.
• Saratani ya endometriamu hutokea mara nyingi baada ya ukomohedhi.
Saratani ya endometriamu inahusishwa na mfichuo zaidi wa estrojeni , shinikizo la juu la damu na kisukari. Huku kumeza estrojeni pekee kukiongeza hatari ya saratani ya endometriamu, kumeza mchanganyiko wa estrojeni pamoja na projesteroni kama ilivyo katika nyingi ya vidonge vya kudhibiti uzazihupunguza hatari hii. Takriban asilimia mbili hadi tano ya visa hivi huhusishwa na jeni zinazorithiwa kutoka kwa wazazi. Saratani ya endometriamu wakati mwingine huitwa "saratani ya uterasi", ingawaje aina hii huwa tofauti na aina zingine za saratani ya uterasi kama vile saratani ya seviksi, sakoma ya seviksi, na ugonjwa wa trofoblasti. aina ya saratani ya endometriamu inayotokea mara nyingi zaidi ni endometrioidi kasinoma, ambayo husababisha zaidi ya asilimia 80 ya visa. Saratani ya endometriamu hutambuliwa mara nyingi katika biopsi ya endometriamu au kwa kuchukua vielelezo wakati wa utaratibu unaojulikana kama upanukaji na usafishaji wa kizazi.
Matibabu makuu ya saratani ya endometriamu kwa kutumia tiba ya seli shina(STEM CELL)
Saratani huwa ni ukuwaji sio kawaida wa seli na kusababisha uvimbe na madhara mengine ila TIBA ya seli shina itwayo CRYSTAL CELL inayotokana na viini vya seli za mimea huponyenyesha saratani hii kwa kumiliki na kukabili seli hizi katika ukuaji wake.
Pia seli shina hizi hugawanyika na kuwa seli ulinzi katika mlango wa kizazi na kuta la tumbo la kizazi. Na kuboresha seli zilizokufa kutokana na mashambulizi.
Matibabu mengine ya saratani ya endometriamu
• Saratani hii hutibiwa kwa histerektomi ya fumbatio (kuondoa uterasi kabisa kupitia upasuaji)
• Pamoja na utoaji wa neli za fallopia na ovarikatika pande zote unaoitwa salpingo-uuforektomi ya pande mbili.
• Tiba ya mionzi, kemotherapi au tiba ya homoni pia inaweza kupendekezwa. Ikiwa ugonjwa utatambuliwa katika awamu ya mapema, matokeo huwa bora.
Kwa mawasilianozaidi juu ya tiba ya seli shina 0682315816