Nina shida inayonikabili wana jf

Nina shida inayonikabili wana jf

Nenda hospitali, hutakiwi kumis period. Halafu hapo ulipo enda ni private wanaangaliaga pesa kuliko kuliko madhara ya dawa

Hilo tumbo hata kama limekushika vipi walifaa wakuchome hata diclofenac ingekusaidia

Pole kwa maelezo utafute Dr wa wanawake uanze clinic
 
Nasumbuliwa na endometritis,nimetumia sindano aina ya powercef lkn tangu nilipoanza kutumia sijapata hedhi ya mwezi huu na pia kula yangu ni ya shida sana,nimekuwa mtu wa kuchukia chakula na pia nikila nakula kiasi kidogo sana najihisi nimeshiba au kuhisi kutapika...Naomba ushauri wenu juu ya hili.
Saratani ya endometriamu(saratani ya uterasi)
ni saratani inayotokana na endometriamu ( utando wa uterasi au tumbo la uzazi). Hii hutokana na ukuaji usio wa kawaida wa seli zenye uwezo wa kushambulia au kuenea katika sehemu zingine za mwili.
• Ishara ya kwanza mara nyingi huwa hali ya kutokwa na damu ukeniisiyohusishwa na hedhi ya kila mwezi.
• Dalili zingine zinajumuisha maumivu wakati wa kukojoa, maumivu wakati wa ngono au maumivu ya pelvisi.
• Saratani ya endometriamu hutokea mara nyingi baada ya ukomohedhi.

Saratani ya endometriamu inahusishwa na mfichuo zaidi wa estrojeni , shinikizo la juu la damu na kisukari. Huku kumeza estrojeni pekee kukiongeza hatari ya saratani ya endometriamu, kumeza mchanganyiko wa estrojeni pamoja na projesteroni kama ilivyo katika nyingi ya vidonge vya kudhibiti uzazihupunguza hatari hii. Takriban asilimia mbili hadi tano ya visa hivi huhusishwa na jeni zinazorithiwa kutoka kwa wazazi. Saratani ya endometriamu wakati mwingine huitwa "saratani ya uterasi", ingawaje aina hii huwa tofauti na aina zingine za saratani ya uterasi kama vile saratani ya seviksi, sakoma ya seviksi, na ugonjwa wa trofoblasti. aina ya saratani ya endometriamu inayotokea mara nyingi zaidi ni endometrioidi kasinoma, ambayo husababisha zaidi ya asilimia 80 ya visa. Saratani ya endometriamu hutambuliwa mara nyingi katika biopsi ya endometriamu au kwa kuchukua vielelezo wakati wa utaratibu unaojulikana kama upanukaji na usafishaji wa kizazi.

Matibabu makuu ya saratani ya endometriamu kwa kutumia tiba ya seli shina(STEM CELL)
Saratani huwa ni ukuwaji sio kawaida wa seli na kusababisha uvimbe na madhara mengine ila TIBA ya seli shina itwayo CRYSTAL CELL inayotokana na viini vya seli za mimea huponyenyesha saratani hii kwa kumiliki na kukabili seli hizi katika ukuaji wake.
Pia seli shina hizi hugawanyika na kuwa seli ulinzi katika mlango wa kizazi na kuta la tumbo la kizazi. Na kuboresha seli zilizokufa kutokana na mashambulizi.
Matibabu mengine ya saratani ya endometriamu
• Saratani hii hutibiwa kwa histerektomi ya fumbatio (kuondoa uterasi kabisa kupitia upasuaji)
• Pamoja na utoaji wa neli za fallopia na ovarikatika pande zote unaoitwa salpingo-uuforektomi ya pande mbili.
• Tiba ya mionzi, kemotherapi au tiba ya homoni pia inaweza kupendekezwa. Ikiwa ugonjwa utatambuliwa katika awamu ya mapema, matokeo huwa bora.
Kwa mawasilianozaidi juu ya tiba ya seli shina 0682315816
 
Causes of endometritis

Endometritis is generally caused by infection. Infections that can cause endometritis include:

All women have a normal mix of bacteria in their vagina. Endometritis can be caused when this natural mix of bacteria changes after a life event.
Ua quet right is coused by bacterial infinction once normal flora of de located site changed into pathogens couse infenction
Endometrium in the uterus swelling due to STIs infection also such u named above clymidia..gonorrhoea ...symphyillis and all homrmonal inbalance may lead endometritis
N.B all womens who used FP methodes they are at high risk to experience endometritis due to hormonal regulation
For the tratment of dat above patient
She has to stop any Fp methodes wheather jadelle .coper t pills or injenctions

Second she has to do investigatiom such as
..vDrl
..urinalysis
To roll out any STIs infenction she might have ..if reactive

Mngnt : change to cefalexine injenction for 5 days then tabs of...clotrimoxazole /ciproflacine
........doxycilline tabs
.......and metronidazole for 7/7
Do follow up after 7 days
 
Penda kujifunza zaidi juu ya tatizo linalokusumbua,Nakushauri isome endo ilivyo, kila symptoms na natural ways ya kuimanage
Natural herbs za kukusaidia huku ukitumia dawa utarudi kuwa sawa kabisa
 
Back
Top Bottom