Pia huu Uzi wako ungeuweka na kwenye JUKWAA LA SHERIA hapa JAMIIFORUM ili update ushauri wa kisheria na vifungu vyake vya kisheria ambavyo utasimama navyo MAHAKAMANI kama tu taasisi uliyokopa KIPINDI mnaandikishiana huo MKATABA haikuwa IMESAJIRIWA kwautoaji wa mikopo.Hata kama ni MTU Binafsi,Hata kama mliandikishiana MKATABA, cha Msingi je alikuwa IMESAJIRIWA kwa kazi hiyo? Kama hakuwa IMESAJIRIWA huo MKATABA unafutwa au kisheria unakuwa ni MKATABA BATILI.