Nina Shida kubwa sana, naomba msaada wa haraka

Nina Shida kubwa sana, naomba msaada wa haraka

Pia huu Uzi wako ungeuweka na kwenye JUKWAA LA SHERIA hapa JAMIIFORUM ili update ushauri wa kisheria na vifungu vyake vya kisheria ambavyo utasimama navyo MAHAKAMANI kama tu taasisi uliyokopa KIPINDI mnaandikishiana huo MKATABA haikuwa IMESAJIRIWA kwautoaji wa mikopo.Hata kama ni MTU Binafsi,Hata kama mliandikishiana MKATABA, cha Msingi je alikuwa IMESAJIRIWA kwa kazi hiyo? Kama hakuwa IMESAJIRIWA huo MKATABA unafutwa au kisheria unakuwa ni MKATABA BATILI.
 
Hiyo taasisi uliyo kopa huko mtaani haina tofauti na IPTL types....

Mshahara kwa mwezi laki na 40, bora uachane na hiyo kazi, hizo hela zote ulizo kopa ungejiajiri ungekuwa mbali sana..

Kama siyo baadhi ya watu kufanya utapeli hapa jf ungechangiwa fasta..
 
TAFUTA WAKILI ALIYE KARIBU NAWE AKUSHAURI.
PIA USITOE TENA PESA ILI AKUSAIDIE WAKILI HUYO IWE KIMAHAKAMA AU KISHERIA BUT AKUSAIDIE KIUNDUGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom