Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukopa harusi, kulipa matanga
Mm n mwalimu wa shule ya msingi nilianza kaz 2014 mwaka huo huo nikafanikiwa kukopa mkopo ambao unanitesa kwel mpaka sasa mshahara wangu n mdogo Nina madeni kila kona mpaka kazi naiona gunia LA misumari,,,,
shida zaid kuna taasisi ya mtaani nilikopa 758000 nimelipa 350000 baada ya hapo nlipata matatizo yaliyopelekea nishindwe kurejesha PESA iliyobaki deni ilitakiwa liishe januali jamaa wamenifuata juzi wakanipigia mahesabu kwa riba natakiwa nilipe milioni moja na laki saba 1700000
Mshahara wangu in laki moja na arobain 140000 Nina mke na mtoto mmoja naambiwa niwe nawapa laki moja kila mwezi wamedai nkienda tofauti wananipeleka kwenye vyombo vya sheria ntaishije Mimi kwa 40000 inayobaki
Naomba MSAADA wa mawazo hasa kisheria maana sina amani
Sent using Jamii Forums mobile app
andika vizuri Kama Mwalimu bwana unandika X-ray run xina ndio nini alafu Mwalimu
Hili jambo sintokuja kulifanya kukopa kwa ajili ya wazazi.au ndugu.bora lawama.ninacho nitawapa sina.NITAWAAMBIA SINA.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mkuu huku sio facebook uandishi wa kufupisha namna hiyo unatupa shida watu wazima kuelewa.
-Ndumilakuwili-
Dah....kwa andiko hili acha uendelee kulipa tu.......hakuna namna[emoji13] [emoji13]
Dah...lazima achanwe bana siku nyingine atie akili....Samahani mkuu kama nitakukwaza kuquote text yako
Huyu mtu hahitaji ushauri ila anachotaka ni ushauri nasaha kwa sababu huwezi ukamwambia ivo mtu ambaye tayari kashaathirika na tatizo ebu jitahidi mpe mawazo yako japo kidogo afanye nini ili ajikwamue ushauri wangu utakuja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu ,pole Mwalimu , Waalimu ni wito, Utafanikiwa Mwalimu< Mungu akuonoze Mwalimu.
Kama haitambuliki kisheria hapo unaweza unaweza kuacha kulipa riba iliyosalia maana ni taasisi za fedha tu ndio kisheria zinaruhusiwa kutoza riba. Jambo la msingi lazima ukusanye ushahidi vizuri kuonesha kuwa ulishalipa mkopo halisi plus riba nyingi tu lakini deni haliishi. Tafuta bush lawyer akusaidie kuwaandikia barua ili wasikusumbueMm n mwalimu wa shule ya msingi nilianza kaz 2014 mwaka huo huo nikafanikiwa kukopa mkopo ambao unanitesa kwel mpaka sasa mshahara wangu n mdogo Nina madeni kila kona mpaka kazi naiona gunia LA misumari,,,,