chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Niongezee kidogo hapo pia mkuu.Pole kwa matatizo... wadau wanakupa msaada ila na mi lazima nikuchane kiume.
Next time ukikopa... lazima utambue haya.
-pesa ya mkopo si ya kujengea wala kununulia kitu ambacho hakirudishi pesa kiwepesi ,,,
Yaani ununue kiwannja na haujengi... it means umezika pesa unakula nyaasi.
Sent from "La -Vista"
"Pesa ya mkopo pia siyo ya kusomeshea mchumba"