Binamu chunga sana usije kupata mototo wa jinjia hiyoUmeandika kimasihara hivi..chit chat ingekufaa. Wenzako huwa wanasaidiwa kikwelikweli lakini si kwa uandishi huo.
Halafu jinsia yako sijaielewa!
Kwani huyu ni jinsia gani binamu. Hebu nisaidie..Binamu chunga sana usije kupata mototo wa jinjia hiyo
Sasa biashara imeyumba hilo deni utalilipaje? Ungeomba watu wakuchangie hata buku buku ,watu kumi tuu laki.Nimepata shida ya ghafla biashara imeyumbaa. Si unajua msimuu wa Magufuli huu
So nina uhitaji wa Tsh laki moja au elfu 80 naomba mnikopeshe. Nipo kwenye kipindi cha mpitoo biashara imeyumba sanaa huku arusha ilboru
Jomoni nisaidieni ni wapi hapa mjini arusha naweza kukopaa nina shida nazo haraka mnoo ya kutumia siku mbili tatu biashara yangu imeenda chakaa
yaani acha tu
Please jomoni maana uwiiii sijui hizi siku kadhaa za mbeleni nitaishije
dhamanaNimepata shida ya ghafla biashara imeyumbaa. Si unajua msimuu wa Magufuli huu
So nina uhitaji wa Tsh laki moja au elfu 80 naomba mnikopeshe. Nipo kwenye kipindi cha mpitoo biashara imeyumba sanaa huku arusha ilboru
Jomoni nisaidieni ni wapi hapa mjini arusha naweza kukopaa nina shida nazo haraka mnoo ya kutumia siku mbili tatu biashara yangu imeenda chakaa
yaani acha tu
Please jomoni maana uwiiii sijui hizi siku kadhaa za mbeleni nitaishije
Usingeandika "tyu", ningekwambia nipe namba yako ya Mpesa sasa hivi!acha tyu
nimekaukiwaUnadaiwa?
Sasa biashara imeyumba hilo deni utalilipaje? Ungeomba watu wakuchangie hata buku buku ,watu kumi tuu laki.
sina kitambulisho cha mpiga kura kk halaf nilipoteza halafu kuhusu kuchangiwa no mkuu wengi huku hawataniamini nisije itwa tapeli buleKakope Tara ama L pesa rahisi tuu
Mmh haya...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Binamu huyo jamaa no jinsia ya tatu ile ya kina James Delicious
Huyu haitaji mkopo, kuna kitu kingine anatafutaHaha duh. Mkuu mbona uandishi wako utata
"Tyu"
Kwa neno "jomoni" kama siyo msichana ni mvulanaUmeandika kimasihara hivi..chit chat ingekufaa. Wenzako huwa wanasaidiwa kikwelikweli lakini si kwa uandishi huo.
Halafu jinsia yako sijaielewa!
Ataweka hyo Jomoni yake umkopesheUnaweka dhamana kitu gani nikukopeshe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ataweka hyo Jomoni yake umkopeshe
Sio mvulana wa kawaida. Jomoni ni kwa jinsia ya kike tuuuKwa neno "jomoni" kama siyo msichana ni mvulana