Nina shida na laki moja au elfu 80 nikopesheni

Mwandiko wako umekunyima mkopo. Kajifunze kuandika vizuri.
 
Umeandika kimasihara hivi..chit chat ingekufaa. Wenzako huwa wanasaidiwa kikwelikweli lakini si kwa uandishi huo.
Halafu jinsia yako sijaielewa!
Binamu chunga sana usije kupata mototo wa jinjia hiyo
 
Nimepata shida ya ghafla biashara imeyumbaa. Si unajua msimuu wa Magufuli huu
So nina uhitaji wa Tsh laki moja au elfu 80 naomba mnikopeshe. Nipo kwenye kipindi cha mpitoo biashara imeyumba sanaa huku arusha ilboru

Jomoni nisaidieni ni wapi hapa mjini arusha naweza kukopaa nina shida nazo haraka mnoo ya kutumia siku mbili tatu biashara yangu imeenda chakaa
yaani acha tu

Please jomoni maana uwiiii sijui hizi siku kadhaa za mbeleni nitaishije
Sasa biashara imeyumba hilo deni utalilipaje? Ungeomba watu wakuchangie hata buku buku ,watu kumi tuu laki.
 
Nimepata shida ya ghafla biashara imeyumbaa. Si unajua msimuu wa Magufuli huu
So nina uhitaji wa Tsh laki moja au elfu 80 naomba mnikopeshe. Nipo kwenye kipindi cha mpitoo biashara imeyumba sanaa huku arusha ilboru

Jomoni nisaidieni ni wapi hapa mjini arusha naweza kukopaa nina shida nazo haraka mnoo ya kutumia siku mbili tatu biashara yangu imeenda chakaa
yaani acha tu

Please jomoni maana uwiiii sijui hizi siku kadhaa za mbeleni nitaishije
dhamana
 
Back
Top Bottom