Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kama Una vyote hivo kwann usiende bank Moja kwa Moja uanze procedures zoteHabari wapendwa nina shida ya mkopo kwa dhamana ya godown na servant quorta ya vyumba 2 sabab ni kuweza kuleta mashine toka nje nilizolipia tayari 30% kama utaguswa ni save eneo lina square meter 6000 lina hati title deed kiasi mil 100 nitalipa kwa mwaka riba isizid 20 kwa mwaka au ataye nisaidia bank ambayo itapokea dhamana hii na kunipa loan basi tutazungumza nae ili mkataba wangu usivunjwe bado 2 weeks niwe nimemaliza lipia na kusafirishiwa kabisa
Nimecheck bank naona wanakubali ila wanataka biashara ni sawa nina biashara ila transaction zake ziko chini sababu ya ujenzi issue ni bank pia jengo lipo mkoa jirani na dar nilipoMkuu Kama Una vyote hivo kwann usiende bank Moja kwa Moja uanze procedures zote
Unataka mkopo kiasi gani? Je uko tayari Eneo libadirishwe umiliki lisomeke jina la anayekukopesha mpaka hapo utakaporejesha pesa?, Jengo lipo mkoa gani?Nimecheck bank naona wanakubali ila wanataka biashara ni sawa nina biashara ila transaction zake ziko chini sababu ya ujenzi issue ni bank pia jengo lipo mkoa jirani na dar nilipo
Loan sharks, be keen!, shark akilipenda eneo umekwisha! Note!Unataka mkopo kiasi gani? Je uko tayari Eneo libadirishwe umiliki lisomeke jina la anayekukopesha mpaka hapo utakaporejesha pesa?, Jengo lipo mkoa gani?
Hapo ni sawa na unauza eneo lako kwa thamani ya huo mkopo. Kuwa makiniNaomba niku pm kiongozi
Hati na maandishi ya kisheria yangetosha, sasa mtu anataka kwanza Hati ibadilishwe kabisaaa! Hatari hii.Hapo ni sawa na unauza eneo lako kwa thamani ya huo mkopo. Kuwa makini
Hahahahahahahh... una pigwa ndoige kwa mkataba wa aina ya wakina chief mangungoHati na maandishi ya kisheria yangetosha, sasa mtu anataka kwanza Hati ibadilishwe kabisaaa! Hatari hii.
Acha utapeli na upumbavu mmetanguliza tamaa sana,sasa MTU hajaanza hata kulipa mkopo wewe umisha piga hesabu ya yeye kushindwa.Unataka mkopo kiasi gani? Je uko tayari Eneo libadirishwe umiliki lisomeke jina la anayekukopesha mpaka hapo utakaporejesha pesa?, Jengo lipo mkoa gani?
Unajua process za kubadilisha umiliki zinachukua siku ngapi?Naomba niku pm kiongozi
Kwa wale mapapa wa mjini ni siku tatu tu,lakini akina siye na haki zetu halali ni mwendo wa mamiezi,utapigwa mguu hapo ardhi mpaka viatu viishe.Unajua process za kubadilisha umiliki zinachukua siku ngapi?
Ni kweli kabisa ndugu bank nyingi za hapa kwetu ni vicoba pro max.Bank nchi hii hawana tofauti na vikundi vya vicoba shida sana kupata mikopo na sio partner katika kufanya nao biashara maana mikopo kwa kiasi kikubwa ndio inawaweka mjini lakini hawa maofisa mikopo wa Bank zetu kama miungu mtu unaenda badala ya kuku treat kama customer unawahitaji na wanakuhitaji lakini utasema wewe ndio ombaomba wanajiona kama miungu mtu, kama utaweza kupata njia nyingine bora bank zetu ni majanga wakianza kudai bora hata ya Mangi akudai... utaona dunia chungu. Niliwahi kupata mkopo na nikalipa leo hii naona bank kama kituo cha police sitaki hata urafiki nao na nime wa delete kabisa.