Rais wetu aone namna ya kuanzisha bank nyingine ambayo itakuwa na fedha za kutosha na easy accessibility, yaani ukikamilisha doc, na miradi ni genuine na baada ya kujiridhisha na mawili matatu mtu apatiwe fedha, alimradi ziwe chini by 75% ya asset value iliyopo! "Bond house" ulaya ipo hii sana, haya mabenki mpaka upate mkopo ni mwaka, na mradi wenyewe unakuwa tena hauna maana.
N. B, Tatizo la maofisa wa mabenki ni ten percent bila hii upate mkopo, ajabu yao na walivyo na roho mbaya, ni hao hao pale unapodelay wanakuja kukutisha kukuuzia asset yako bila aibu kabisa.