Annonymous
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 688
- 1,126
Nenda bank au taasisi nyingine zilizosajiliwa kutoa mikopo.Habarini wakuu
Ni mfanyabiashara na mwajiliwa wa kampuni moja ya mawasiliano Tz.
Nna shida na million 6 kwa marejesho ya kuanzia miezi 10.
Naamini baadhi yetu ni wazoefu wa mikopo. Waapi naweza kupata mkopo huu.
Kweli ndugu assets ni kitu cha muhimu sana hasaaa hiyo dhahabu.....kuliko kukaa na maburungutu ya pesa nunua tu madini weka ndaniSiku hizi kuna mikopo kausha damu, mkopo wa miezi 6 inapatikana kwenye taasisi za kifedha, hiyo riba Sasa...
Hii nilistukaga kitambo nilikuwa na brother wangu mmoja kwa Sasa ni marehemu, tulikuwa mjini kati halafu mfukoni hatuna kitu.Kweli ndugu assets ni kitu cha muhimu sana hasaaa hiyo dhahabu.....kuliko kukaa na maburungutu ya pesa nunua tu madini weka ndani
Jewelry ni assets nzuri sana wahindi na waarabu huwa hawakai na maburungutu ya fedha ndani......wananunua dhahabu wanaweka ndani unaweza kushangaa mtu ananunua saa milioni mia mbili au cheni ya milioni 80 ukajua ni urembo kumbe mwenzako amewekeza waTanzania Bado hatujaamka na kuufahamu ulimwengu. Bado wengi hawajui sayansi ya fedha inavyofanya kazi.Hii nilistukaga kitambo nilikuwa na brother wangu mmoja kwa Sasa ni marehemu, tulikuwa mjini kati halafu mfukoni hatuna kitu.
Basi akaniambia twende kwa wahindi Indira ghandi tukachukuwe pesa nikawa na mashaka, tulivyofika kwa wadosi sonara wakatufungulia milango yao ya umeme bro straight akavuwa Pete akaweka mezani, mdosi akaichukuwa akaweka juu ya mzani akachukuwa calculator nikashangaa mdosi anatowa laki nane.
Sikuwahi kuwa mpenzi wa dhahabu na nilikuwa naamini bro ile mipete yake ni mifanfa tu kumbe alikuwa akinunuwa kwa sonata gramu za ukweli na ukikwama unarudi kwao unaawachia dhahabu zao wanapiga calculation wana angalia faida wanayopata unapewa cash bila mbambambaa, hapo ndio nilipata somo la kununuwa asset za jewels, siyo lazima chini au Pete uzivae unaweza kuhifadhi ndani tu na ukiwa unazivaa siku za matukio muhimu tu lakini lengo lako siyo urembo Bali ni asset.
Jewelry na land ni asset zisizohitaji rocket science kuwekeza, hazikutupi hata siku moja.Jewelry ni assets nzuri sana.....wahindi na waarabu huwa hawakai na maburungutu ya fedha ndani......wananunua dhahabu wanaweka ndani.......... unaweza kushangaa mtu ananunua saa milioni mia mbili au cheni ya milioni 80 ukajua ni urembo kumbe mwenzako amewekeza....... waTanzania Bado hatujaamka na kuufahamu ulimwengu......Bado wengi hawajui sayansi ya fedha inavyofanya kazi.....
Kausha damu.Kuna taasisi za kukopesha nenda huko
Na nyingine inaitwa chupi mkononiKausha damu.
Asset hata nyapu nazo hazishuki thamani!Siku hizi kuna mikopo kausha damu, mkopo wa miezi 6 inapatikana kwenye taasisi za kifedha, hiyo riba Sasa.
Bongo ukiwa na shida mkombozi ni asset tu, unauza asset unafanya mambo yako.
Wabongo tujitahidi tunapokuwa na nafuu za kiuchumi tuweke asset, hata dhahabu nunuwa weka ndani huwa haishuki thamani, hapa nazungumzia dhahabu halisi ama cheni genuine ya dhahabu au Pete genuine ya dhahabu siongelei matakataka yaliyookotwa migodini.
Good move.....watu wengi Bado wana imani za kizamani kuwa utajiri ni kuwa na keshi..... kunahitajika elimu kubwa sana ya fedha kuwatoa watu gizani.....Mimi nilipopata elimu hiyo nimejikuta naichukia keshi......Jewelry na land ni asset zisizohitaji rocket science kuwekeza, hazikutupi hata siku moja.
Mimi hii January kila nikiichungulia bill za shule bado zinanichanganya sizielewi, nakunywa kiwanja kimoja million 10, niliwekeza millioni 4 tu.
Enhee cheni ya dhahabu ukiinunua milioni moja na ukataka kuiuza mda huohuo unauza Sha ngapi?Mnaoongea kuhusu dhahabu hivi mmewahi kuuza dhahabu zenu?
Unajua ukinunua cheni ya shilingi milioni moja na ukataka kuiuza hata muda huo huo tu unapata bei gani?
Uko wapi milioni sita utanirudishia 10m upo tayari uje na hati ya nyumba au kadi ya gari na mashaihidi 3Habarini wakuu
Ni mfanyabiashara na mwajiriwa wa kampuni moja ya mawasiliano Tanzania.
Nina shida na million 6 kwa marejesho ya kuanzia miezi 10.
Naamini baadhi yetu ni wazoefu wa mikopo. Wapi naweza kupata mkopo huu.
Aiseee 😁Uko wapi milioni sita utanirudishia 10m upo tayari uje na hati ya nyumba au kadi ya gari na mashaihidi 3
Asee unaona kabinti fulani kametia kikuku mguuni unakadharau na kukaita mwajuma n'chokonoe kumbe kametunza malaki ya pesa hapo.. Nimeipenda hii kanuni.Jewelry ni assets nzuri sana.....wahindi na waarabu huwa hawakai na maburungutu ya fedha ndani......wananunua dhahabu wanaweka ndani.......... unaweza kushangaa mtu ananunua saa milioni mia mbili au cheni ya milioni 80 ukajua ni urembo kumbe mwenzako amewekeza....... waTanzania Bado hatujaamka na kuufahamu ulimwengu......Bado wengi hawajui sayansi ya fedha inavyofanya kazi.....
Kwenye maduka ya jewelry kwa wahindi hakuna mbambambaa, dhahabu inauzwa kwa gramu, unatajiwa bei ya gramu kama ni pete au cheni, mzani digital uko pale inawekwa unasoma gramu mwenyewe, unanunuwa cheni au Pete kutokana na uwezo wako.Asee unaona kabinti fulani kametia kikuku mguuni unakadharau na kukaita mwajuma n'chokonoe kumbe kametunza malaki ya pesa hapo.. Nimeipenda hii kanuni.
Utatumia mbinu gani sasa ili usiuziwe famba hata na hao masonara wanao aminika?
Cc Matola