Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Kweli ndugu assets ni kitu cha muhimu sana hasaaa hiyo dhahabu.....kuliko kukaa na maburungutu ya pesa nunua tu madini weka ndani
Au dollar Pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ndugu assets ni kitu cha muhimu sana hasaaa hiyo dhahabu.....kuliko kukaa na maburungutu ya pesa nunua tu madini weka ndani
Kwenye maduka ya jewelry kwa wahindi hakuna mbambambaa, dhahabu inauzwa kwa gramu, unatajiwa bei ya gramu kama ni pete au cheni, mzani digital uko pale inawekwa unasoma gramu mwenyewe, unanunuwa cheni au Pete kutokana na uwezo wako.
Kama sikosei bei ya gram moja kwa Sasa inaweza kuwa around tsh laki tatu au pungufu.
Sasa kazi ni kwako unataka kuhifadhi gram ngapi shingoni au kidoleni.
Ila nakuhakikishia hakuna duka la jewelry wanalouza dhahabu fake, huo ni uhuni wa huko migodini ndio wanauziana matakataka.
Tunaomba ufafanue mkuu. Utatusaidia sanaJewelry na land ni asset zisizohitaji rocket science kuwekeza, hazikutupi hata siku moja.
Mimi hii January kila nikiichungulia bill za shule bado zinanichanganya sizielewi, nakunywa kiwanja kimoja million 10, niliwekeza millioni 4 tu.
Tanzania swala la milopo Lina changamoto kubwa mno,watu wanaweza kuja kukuvisit wakapiga mapicja kibao wanakudhalikiaha bado mkopo mpaka upewe inachukua miezi.
Wakopeshani na wakopeshwaji wote ni majanga, wa Tz hawaogopi madeni yaani hawalipi kabisa.
Ndiyo maana hizi microfinance haziishiwi wateja Kwa riba ya 15%