Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
Hello wakuu natafuta mtu yoyote amba ana ujuzi wa leseni za Tanzania Gaming Board Jinsi zinavyofanya kazi, nimeshatuma propasal ya suala langu TGB nimeambiwa inaweza kuchukua wiki tatu hadi mwezi so wakati inafanyiwa kazi nataka nikutane na mtu mwenye uzoefu anipe elimu zaidi, nitashukuru sana nikimpata, unaweza kunicheki DM asante sana.