Nina shida na mtaalamu wa leseni za Tanzania Gaming Board

Secret Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
1,870
Reaction score
2,122
Hello wakuu natafuta mtu yoyote amba ana ujuzi wa leseni za Tanzania Gaming Board Jinsi zinavyofanya kazi, nimeshatuma propasal ya suala langu TGB nimeambiwa inaweza kuchukua wiki tatu hadi mwezi so wakati inafanyiwa kazi nataka nikutane na mtu mwenye uzoefu anipe elimu zaidi, nitashukuru sana nikimpata, unaweza kunicheki DM asante sana.
 
Ngoja waje JF ni kisiwa cha wataalamu wa kila sekta
 
Nina jirani yangu mstaafu. Anaweza kukusaidia. Tuwasiliane tafadhali kwenye inbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…