Nina shida na Window ambayo haina shida

Nina shida na Window ambayo haina shida

Abdclassic

Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
88
Reaction score
38
Nina shida na window ambayo haina shida Maana nahangaikia Window mwezi wasita huu.

Jana kuna Window nimepata ila nikiconnect wifi PC inajizima, pia kila software nayo download inagoma kufunguka au inaweza kufunguka ila ukizima.

PC ukiwasha ishaliwa yaani Nimateso na Antivirus nikifunga bado kimeseji cha kuclean kinakuja.
 
Hayo matatizo ni ukiweka windows ama software unazoweka baada ya windows? Weka windows Yako usichomeke flash, download drivers husika online uone kama tatizo linatokea.
 
nashida nawindow ambayo haina shida shida maana nahangaikia Window mwezi wasita huu jana kunawindow nimepata ila nikiconnect wifi pc inajizima pia kila software nayo download inagoma kufunguka au inaweza kufunguka ila ukizima pc ukiwasha ishaliwa yaani Nimatesooooo na Antivirus nikifunga bado kimessage cha ku clean kinakuja
Achana na pirated windows... Download ISO hapa then tengeneza bootable USB na install kama kawa...

 
Back
Top Bottom