Abdclassic
Member
- Jul 13, 2017
- 88
- 38
Nachukuaga tu kwawashkajiWindows zako una download wapi...!?
Nimejaribu ila pale paleHayo matatizo ni ukiweka windows ama software unazoweka baada ya windows? Weka windows Yako usichomeke flash, download drivers husika online uone kama tatizo linatokea.
Download kutoka getintopc mkuu, af nashauri uclean kabisa Hiyo storage device yako.Nachukuaga tu kwawashkaji
Achana na pirated windows... Download ISO hapa then tengeneza bootable USB na install kama kawa...nashida nawindow ambayo haina shida shida maana nahangaikia Window mwezi wasita huu jana kunawindow nimepata ila nikiconnect wifi pc inajizima pia kila software nayo download inagoma kufunguka au inaweza kufunguka ila ukizima pc ukiwasha ishaliwa yaani Nimatesooooo na Antivirus nikifunga bado kimessage cha ku clean kinakuja