Plot4Sale Nina shida: Nauza shamba langu heka 15 Bagamoyo bei ya kutupa

Plot4Sale Nina shida: Nauza shamba langu heka 15 Bagamoyo bei ya kutupa

Magari Nusubei

Senior Member
Joined
Dec 3, 2020
Posts
101
Reaction score
61
Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.

Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15.

Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote.

Bei ni milioni 15 (15,000,000/=) tu

Nauza lote sikati nusu nusu.

0677 818283

WhatsApp Image 2021-09-20 at 19.46.10 (1).jpeg
WhatsApp Image 2021-09-20 at 19.46.10.jpeg
WhatsApp Image 2021-09-20 at 19.46.11 (1).jpeg
WhatsApp Image 2021-09-20 at 19.46.11.jpeg
WhatsApp Image 2021-09-20 at 19.46.12.jpeg
 
Nasikia kuna uchawi sana huko

USSR
 
dah limekubali fresh kweli
mitaa yangu ya karabaka na mtakuja kitambo sn sijafika
 
yapo kuna bwawa la maji pembeni

free kutumia

au ukitaka unaweza chimba kisima chako
Kitongoji gani? jina la mwenyekiti wq kijiji aliesaini mauziano anaitwa nani?maana kuna maeneo huko yana migogoro na NARCO.
 
Back
Top Bottom