Magari Nusubei
Senior Member
- Dec 3, 2020
- 101
- 61
umesikiaaa...Nasikia kuna uchawi sana huko
USSR
😂nisem tu wewe ni mTz originalNasikia kuna uchawi sana huko
USSR
yapo kuna bwawa la maji pembeniMaji yapo?
Shamba lipo fukayosi Bagamoyo.. lilikuwa la mananasi msimu uliopita na linatoa mananasi mazuri sana.
Lipo Fukayosi Bagamoyo - km 10 kutoka Bagamoyo road, shamba lina heka 15.
Document zote za serikali ya kijiji zipo na halina migogoro yoyote.
Bei ni milioni 15 (15,000,000/=) tu
Nauza lote sikati nusu nusu.
Mawasiliano 0677 818283
View attachment 1946355View attachment 1946356View attachment 1946357View attachment 1946358View attachment 1946359
Kitongoji gani? jina la mwenyekiti wq kijiji aliesaini mauziano anaitwa nani?maana kuna maeneo huko yana migogoro na NARCO.yapo kuna bwawa la maji pembeni
free kutumia
au ukitaka unaweza chimba kisima chako
yapo kuna bwawa la maji pembeni
free kutumia
au ukitaka unaweza chimba kisima chako
Acha utan ahahahahahio bei utahangaika sana kupata mteja.
fanya laki 6 watu wakutafute
Wabongo mnajua kuvunja bei.hio bei utahangaika sana kupata mteja.
fanya laki 6 watu wakutafute
Bunju, Tegeta, Boko, Ununio je???Hakuna sehemu ina utapeli waviwanja na mashamba kama bagamoyo
never, hiyo bei ni bure, Let me try my bahati!hio bei utahangaika sana kupata mteja.
fanya laki 6 watu wakutafute