Nina shida ya kuchelewa kufika kileleni na pia kutoa shahawa chache na kushindwa kurudia tendo

kunako

Member
Joined
Jan 13, 2015
Posts
44
Reaction score
18
Habarini za mchana wanajanvi rejeeni kichwa cha habar hapo juu nimeoa na nina mke ila cjapata mtoto bado ninashida ya kuchelewa kufika kileleni na pia natoa shahawa kiasi kidogo ,hiki kitu kimenianza baada ya kufunga ndoa sikuwa hivi kabla nilikuwa na uwezo wa kwenda hata round tano ,hii lakini nilipata minor stroke hivyo nilipinda mdomo na jicho kutoa machozi viungo vingine viko salama na nilishapona kasoro jicho linatoa machozi ,naombeni msaada kwa anae jua dawa au ushauri karibuni
 
Au inawezekana ilisababishwa na stroke ?
 
After effects za stroke zinaweza kuja na madhara kadhaa wa kadhaa...

Unaweza ukawa ume-re-cover but not yet ill... Take it easy with time you will be fine...


Cc: mahondaw
 
unataka raundi mbili za kazi gani?hiyo hyo moja inatosha kwa hali yako.uliwahi kupiga punyeto zamani?
 
Unachelewa kama muda gani ivi? Pia umejaribu kubadilisha ulaji wako?

Kama dada yetu apo alivyosema physchological health ni muhimu sanaaa kwenye kuwahi/kuchelewa au kuenda raundi ngapi ni vyema ukafka hospitali kwa ushauri na uchunguzi zaidi.
 
Tezi dume muone daktari haraka
 
Matatizo yanaweza kuwa psychological more than physical. Mchukulie mke wako kama rafiki wa kushare nae maisha rather than a sexual partner, relax na ikiwezekana mueleze akikupa udhirikiano itakuwa vyema
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
After effects za stroke zinaweza kuja na madhara kadhaa wa kadhaa...

Unaweza ukawa ume-re-cover but not yet ill... Take it easy with time you will be fine...


Cc: mahondaw

Duhhhhhhhhhhh. Pole yake jamani kwa minavojua sisi wanawake wa kileo na hayo mamboz mh !!!



Mahondaw wa Smart911
 
Kama unachelewa kufika kileleni inamaana kwamba unaweza ukaishughulikia papuch kwa muda mrefu mpaka mwanamke akachoka asa shida gani uanze kutafta 2round wakat kwa yako moja yuko taabani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duhhhhhhhhhhh. Pole yake jamani kwa minavojua sisi wanawake wa kileo na hayo mamboz mh !!!



Mahondaw wa Smart911
Sasa huyo anaye chelewa kumaliza shughuli si ndio wanawake mnapenda? Labda hapo tatizo ni kutoa wazungu wachache na pengine ni dhaifu yaani fertiliy yake kuwa ndogo. Jombaa akomae na diet yenye vyakula vya halisi vyenye kuongeza libido.
 
Sasa huyo anaye chelewa kumaliza shughuli si ndio wanawake mnapenda? Labda hapo tatizo ni kutoa wazungu wachache na pengine ni dhaifu yaani fertiliy yake kuwa ndogo. Jombaa akomae na diet yenye vyakula vya halisi vyenye kuongeza libido.
Oops nilisoma vibaya kumbe nilidhani anawahi ndomana nilisema hivo..yeah mwendokasi women tunapenda long distance trade hahahaah.. You got me jombaa!

Pia wanasema eti kuna vyakula vinasaidia kutoa manii nyingi sijui limekaaje hilo!!

Ana umri gani kwani!?

Anyway As long as ana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito, ful picture, mwendo mrefu afu kama yupo vizuri kwa bed that's enough.


Mahondaw wa Smart911
 
Kwa hiyo unataka kutuambia nini sisi tunaopiga kimoja ndani ya dk 5?
Huu uzi wako umelenga kututusi wanaume wenzako...Inamana kama unapiga kimoja basi wewe ni mgonjwa au?
 
Baada ya kupata minor stroke ulimuona mama cheza aka kuoa mazoezi? Hii inasaidia kwani wao wanajua ni zoezi lipi litarudisha uwezo wa kuingia husika mama cheza-physio therapists
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…