Habarini za mchana wanajanvi rejeeni kichwa cha habar hapo juu nimeoa na nina mke ila cjapata mtoto bado ninashida ya kuchelewa kufika kileleni na pia natoa shahawa kiasi kidogo ,hiki kitu kimenianza baada ya kufunga ndoa sikuwa hivi kabla nilikuwa na uwezo wa kwenda hata round tano ,hii lakini nilipata minor stroke hivyo nilipinda mdomo na jicho kutoa machozi viungo vingine viko salama na nilishapona kasoro jicho linatoa machozi ,naombeni msaada kwa anae jua dawa au ushauri karibuni