Matatizo yanaweza kuwa psychological more than physical. Mchukulie mke wako kama rafiki wa kushare nae maisha rather than a sexual partner, relax na ikiwezekana mueleze akikupa udhirikiano itakuwa vyema[/QUOT
nimeoa na mahari nikalipaUmeoa na una mke?
Zingatia ushauri huu.Matatizo yanaweza kuwa psychological more than physical. Mchukulie mke wako kama rafiki wa kushare nae maisha rather than a sexual partner, relax na ikiwezekana mueleze akikupa udhirikiano itakuwa vyema
well saidMatatizo yanaweza kuwa psychological more than physical. Mchukulie mke wako kama rafiki wa kushare nae maisha rather than a sexual partner, relax na ikiwezekana mueleze akikupa udhirikiano itakuwa vyema

Habarini za mchana wanajanvi rejeeni kichwa cha habar hapo juu nimeoa na nina mke ila cjapata mtoto bado ninashida ya kuchelewa kufika kileleni na pia natoa shahawa kiasi kidogo ,hiki kitu kimenianza baada ya kufunga ndoa sikuwa hivi kabla nilikuwa na uwezo wa kwenda hata round tano ,hii lakini nilipata minor stroke hivyo nilipinda mdomo na jicho kutoa machozi viungo vingine viko salama na nilishapona kasoro jicho linatoa machozi ,naombeni msaada kwa anae jua dawa au ushauri karibuni
Inaonyesha uliwapa shida sana walimu wako kukuelewesha.
-Ndumilakuwili-
Jamani Mimi si dr.
Nashukuru sana, maana niliyemuoa nimedumu nae miaka mitano ndo nikamuoa hivyo ananijua vilivyoJamani Mimi si dr.
Nashukuru kwa msisitizoMwanajamvi anapokuwa anajambo la msingi ajibiwe vizuri, la kama huna ushauri wowote kaa kimya, acha mzaha wa kijinga.
[emoji107]Mwanajamvi anapokuwa anajambo la msingi ajibiwe vizuri, la kama huna ushauri wowote kaa kimya, acha mzaha wa kijinga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani Mimi si dr.
Habarini za mchana wanajanvi rejeeni kichwa cha habar hapo juu nimeoa na nina mke ila cjapata mtoto bado ninashida ya kuchelewa kufika kileleni na pia natoa shahawa kiasi kidogo ,hiki kitu kimenianza baada ya kufunga ndoa sikuwa hivi kabla nilikuwa na uwezo wa kwenda hata round tano ,hii lakini nilipata minor stroke hivyo nilipinda mdomo na jicho kutoa machozi viungo vingine viko salama na nilishapona kasoro jicho linatoa machozi ,naombeni msaada kwa anae jua dawa au ushauri karibuni
Tingatinga la JF upo?[emoji28][emoji28][emoji28]After effects za stroke zinaweza kuja na madhara kadhaa wa kadhaa...
Unaweza ukawa ume-re-cover but not yet ill... Take it easy with time you will be fine...
Cc: mahondaw