Nina shida ya kuchelewa kufika kileleni na pia kutoa shahawa chache na kushindwa kurudia tendo

Matatizo yanaweza kuwa psychological more than physical. Mchukulie mke wako kama rafiki wa kushare nae maisha rather than a sexual partner, relax na ikiwezekana mueleze akikupa udhirikiano itakuwa vyema
Zingatia ushauri huu.

Lakini pia jaribu kufika kwenye maduka wanayouza dawa za kisunnah.. kuna jamaa yangu ndio zilimponyesha alipata stroke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo yanaweza kuwa psychological more than physical. Mchukulie mke wako kama rafiki wa kushare nae maisha rather than a sexual partner, relax na ikiwezekana mueleze akikupa udhirikiano itakuwa vyema
well said
 
Habarini za mchana wanajanvi rejeeni kichwa cha habar hapo juu nimeoa na nina mke ila cjapata mtoto bado ninashida ya kuchelewa kufika kileleni na pia natoa shahawa kiasi kidogo ,hiki kitu kimenianza baada ya kufunga ndoa sikuwa hivi kabla nilikuwa na uwezo wa kwenda hata round tano ,hii lakini nilipata minor stroke hivyo nilipinda mdomo na jicho kutoa machozi viungo vingine viko salama na nilishapona kasoro jicho linatoa machozi ,naombeni msaada kwa anae jua dawa au ushauri karibuni

Sababu 9 muhimu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume Zipo sababu nyingi zinazosababisha..

Wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:

1. Ubugiaji wa tumbaku .

2. Uvutaji wa sigara.

3. Utafunaji wa mirungi.

4. Unywaji wa pombe.

5. Kupooza kwa mwili kunakosababishwa na maradhi.

6. Ugonjwa wa kisukari.

7. Kujisaidia kwa njia ya mkono. (Punyeto)

8. Kuwa na mawazo kupita kiasi na Stress.

9. Kufanya kazi ngumu.

Na Pia ujiepushe na moja kati ya hizi Sababu 9 zinazochangia upungufu wa nguvu za kiume.

Ukitaka Dawa za Nguvu ya kiume

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 
Nashukuru kwa ushaur na pia naendelea kupokea ushauri maana kitu hiki nina kama mwezi mmoja na nusu ndo kimenianza
 
Habarini za mchana wanajanvi rejeeni kichwa cha habar hapo juu nimeoa na nina mke ila cjapata mtoto bado ninashida ya kuchelewa kufika kileleni na pia natoa shahawa kiasi kidogo ,hiki kitu kimenianza baada ya kufunga ndoa sikuwa hivi kabla nilikuwa na uwezo wa kwenda hata round tano ,hii lakini nilipata minor stroke hivyo nilipinda mdomo na jicho kutoa machozi viungo vingine viko salama na nilishapona kasoro jicho linatoa machozi ,naombeni msaada kwa anae jua dawa au ushauri karibuni

Sasa Mjomba umetoka kuumwa ugonjwa mbaya sana na athari zake bado unazo hujapona kbs hasa jicho..huoni ni muda wa kuhangaikia afya yako seriously ili upate nafuu urudi vyema kama zamani kuliko kuhangaika na dawa za kuongeza shahawa??.. tatizo si unalijua Mjomba??.. shughulikia afya yako kwanza ndugu..umenusurika na ugonjwa mbaya sana
 
Back
Top Bottom