Mzee ahmadi
Member
- Sep 8, 2014
- 5
- 0
kama nina pesa taslim sh. milion moja. 1 naweza kuifanyia nini ili nisonge kimaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo nikubwa sana hasa ukitulia na kufanya biashara yako unaweza ukadili na fashion ukatoka ndg
unaanzia kwanza ktk jamii inayokuzunguka ukuanza hapo utapata mwanga wa kupanua wigo wako ni mwanzo tu huwa mgumu@Mc Luggy
Ndgu yangu mtaji wa tsh mil.moja ni mkubwa sana nigependa ugefafanua vizuri kwenye uzi wako kwamba uko wapi(mjini au vijijini) na jinsia yako, na je? uko tiyari kufanya biashara yoyote ambayo haivuji sheria za nchi.
tunasubiri jibu lako mkuu.
luggy upo dar?
Mimi nipo Mby kaka
nipo Mbozi kaka!VP mishe gani hapo dar?
Tafuta duka lililo ndani kdg upate unafuu wa kodi,,, fungua duka la mahitaji madogo madogo ya nyumbani..
note; utuletee mrejesho
Mr luggy unaweza kujikwamua kaka wala usijali kikubwa ni kuthubutu basiii