Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano mm nipo hapa dar vp nipe mchanganuo mkuu
na kuwa na imani na kile unacho kisimamia .
shukuri sana mkuu,
kwa upande wa dar es salaam kutokana na wingi wa watu naamini kabisa biashara inayoongoza ni chakula, kuna aina mbili unazoweza kuzifanya; kufuata vyakula mikoani au kufanya biashara ya kufungua genge katika maeneo yenye mkasanyiko wa watu wengi na hasa kwenye masoko.
napenda tuongelee furusa ya kufuata nafaka na bidhaa mbalimbali mkoani na kuzisafirisha kwa usafiri wa trani, unaweza ukaanza kwa kufuata ndagaa katika mikoa ya mwanza na kingoma na kuleta kwa wauzaji wa reja reja katika masoko mbali mbali ya hapo dar es salaam.nimejaribu kufanya reseach hapo dar es salaam nikambiwa kilo ya ndagaa tsh3800 kwa bei ya reja reja. (kwa mwanza na kingoma nakuachia na wewe ukafanye reseach)
kwa mikoa hii ya mwanza, shinyanga, bei ya viatu na nguo vya mitumba viko bei ya juu sana. fanya unapofuuta bidhaa mkoani usiende bure neenda na bidhaa ambazo unaona ukifika kule utafanya biashara.
Kwa mfano mm nipo hapa dar vp nipe mchanganuo mkuu
Pia unaweza kutafuta eneo(kuna maeneo kingamboni geza,kimbiji n.k unaweza kupata kwa bei nafuu sana, na bei ya kupanga vyumba unaweza kupata chumba unalicholipia elfu kumi kwa mwezi)
Unaweza kufika huko nakuanza ufungaji wa kuku wa kienyeji, huko unaweza kupata kuku wa kienyeji kwa bei ya tsh13000 hadi tsh 15000, kwa kuanza tu unaza na kuku 30 majike na madume matano ukipiga hesabu hapo utagundua haifiki hata laki tano.
naamin katika kipindi cha wiko moja utaaza kurudisha hela yako kwa kuuza mayai.

nunua bodaboda
Kaka una habar za hayo maeneo uuzaji wake ni kiac gani wanaanzia
Ninayokuelezea mkuu ni ukweli, kuku jike wananuliwa kwa tsh1500.
na huko kigamboni(GEZA) kuna babu yangu anafanya hiyo biashara
Ok ok na aridhi wanaanzia kiac gan na kwa ukubwa gani
Asante sana!
maeneo hayo; nimaeneo yanalionunuliwa na watu mbali mbali wanaoishi mjini kuna watu kule wamejenga nyumba zao na wanatafuta watu waaminifu wa kusimamia nyumba na mashamba yao, kwa hiyo ndgu unaweza ukabatisha ukapata eneo bure kabisa,
lakn hata kwa hela haiwezi ikazidi elfu kumi na tano.