dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
kimo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahhaMkuu wahi pharmacy ulizia kuna dawa inaitwa P2 meza za kutosha sijui inafanya nini wewe waelezee tatizo lako wakupe.... nasikia wajanja wa mjini wanamezaga wakitoka kuuza mechi[emoji205]
Eh eh tayariWanajamvi habarini, juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa kama mazito hivi, kichwa kinakuwa chepesi, uchovu kwa mbali basi. Hamu ya kula ninayo, nina dalili hizo tu... Nimeanza kuogopa muda huu, yaani natamani kulala kila muda.
Dozi ya nini sasa?!😁😁Anza dozi mkuu
Dah.... Bongo ngumu sana kila mtu ni Dr. na anaijua physiology vizuri.... Msalimie Dr. aliyekufundisha kigogo jirani chuo kilichopo uwanja wa fisi TandaleUsihofu mkuu, dalili za ukimwi huanza at least week moja au mbili baada ya exposure
Kwa siku nne hapana.
Kwisha kabisaKwisha habari..🤣
Hao wa mtaani pia ogopa sana kabla haujatoka nae ni vizuri kchunguza kwanza mienendo yao mana wengi wanakuwaga na malazi bila kujijua hivyo Kama utafanya nae ngono inakuwa rahisi na wewe kupataDuh mkuu wanawake mtaani hakuna hadi ukalale na mwanamke wa kila mtu. Duh, mm sijui nikoje aisee hao naona kinyaa kabisa as longa as najua anajiuza sio salama kwa Matumizi sina hakika labda sababu mm mzee wa pekupeku
Hahaha "do u copy"Man down...i repeat one man dowwwn
Usiishie kukosoa, toa elimu.Dah.... Bongo ngumu sana kila mtu ni Dr. na anaijua physiology vizuri.... Msalimie Dr. aliyekufundisha kigogo jirani chuo kilichopo uwanja wa fisi Tandale
Mke wangu ni member marufu humu Jf, na hata hii comment utaona amelike...😂🤣Mwanaume acha usnich mambo gani haya ya kumwambia mkeo
Mseminari ndo unaanza ukahaba hapo.Wanajamvi habarini, juzi kati nilikwenda kwenye moja ya machimbo maarufu ya malaya hapa Dar, tulitumia kinga na kinga haikupasuka, ila tulidumu kwa muda mrefu kidogo, baadaye nikagundua kuwa kwenye uume shingoni kulikuwa na mchubuko, na baada ya kama siku mbili hivi naanza kuhisi macho yanakuwa kama mazito hivi, kichwa kinakuwa chepesi, uchovu kwa mbali basi. Hamu ya kula ninayo, nina dalili hizo tu... Nimeanza kuogopa muda huu, yaani natamani kulala kila muda.
Ngwengwe ina kitu tunaita stagesUsiishie kukosoa, toa elimu.
Good hivi ndio tunataka, kipimo cha biolone kinadetect baada ya siku ngapi mkuu?Ngwengwe ina kitu tunaita stages
Ambapo ishu ya dalili inategemea na kinga ya muhusika iko kiasi gani ndiposa dalili zionekane lakini baada tu ya kupata vimelea vya virus mara nyingi ni week 3 mpaka 4 unapokwenda kufanya kipimo hasa cha kit's nikiwa na maana ya vile vitendanishi itaonyesha positive kama mwili utakuwa umeshazalisha kitu kinaitwa antibodies lakini mtu huyu anaweza asiwe na dalili zinazoonekana moja kwa moja....
Tufahamu tu ya kwamba, wapo watu wana kinga imara hivyo inawachukua hata miaka 15 ndipo uje uone dalili za moja kwa moja nikiwa na maana physical features (ushahidi Huu upo)
Kwanini ni week 3 mpaka 4 ni kwasababu mtu anakuwa kwenye kipindi cha mpito kitaalamu tunakiita (window period) lakini kuna baadhi ya vipimo vikubwa vinavyoonyesha reaction ambapo huchukua week moja tu tangu upate maambukizi...
Dalili subiria kesho
Itaendelea
Week 3 mpaka 4Good hivi ndio tunataka, kipimo cha biolone kinadetect baada ya siku ngapi mkuu?