mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 462
Mimi na siku moja nimemaliza dozi za UTI , sasa leo nimejikuta na kunywa pombe ,naomben ushauri je nimekata dozi , na weza kuanza upya?
Nawaza sana naomben ushauri ndugu zangu.
Nawaza sana naomben ushauri ndugu zangu.