Nina siku nne sijaoga: Hemedy phd

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743





Akiongea sasa hivi kwenye kipindi cha mkasi HEMEDY PHD amesema kuwa yeye
ni mtu ambaye asiyependa kuoga na tatizo hilo alilianza tokea akiwa mdogo

Host wa kipindi hicho salama jabil akienda mbali kumuuliza ni lini ilikuwa mwara yake ya mwisho ya kuoga na hemedi bila aibu alijibu na kusema

SIKU NNE ZILIZOPITA
 
Mabishoo wachafu, wanapuliza marashi/unyunyu (perfume) ili wanukie kwa nje kumbe kwandani ni UOZO!
AIBU KUBWA KWAKE, wala haitampandisha chati!
 
Na kufua ile kufuli nayo jee??¤
 
Jamani umaarufu unatafutwa dah!kwanini wasiwe kama mchopanga
 
anatafuta attention ya watu kumjadili mwe
 
nilicheka hadi basi! ila yote kwa yote jamaa anatafuta kiki tu kumbe ni mtoto mzuri!
 
His actions are idiotic! Tatizo hajui cha
kuzumgumza mbele ya hadhira
Shame on him thicko.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…