Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Si ndo vizuri dada anatoa takataka zoteUnataka aharishe..?lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndo vizuri dada anatoa takataka zoteUnataka aharishe..?lol
Chaaa,.atakosa nguvu za kiume jomoniiiSi ndo vizuri dada anatoa takataka zote
[emoji23][emoji23][emoji23]acha utan nguvu za kiume tena[emoji23]Chaaa,.atakosa nguvu za kiume jomoniii
Sasa jee....we unadhani akihara siku nzima atawika??😂[emoji23][emoji23][emoji23]acha utan nguvu za kiume tena[emoji23]
Kabisa kabisaa....wengine kula matunda na kunywa maji mpaka aseme dokta,.Jizoeshe kula matunda ni muhimu.
Kabisa kabisaa....wengine kula matunda na kunywa maji mpaka aseme dokta,.
Na watu wa hivyo ni wasomi tena ambao wanajua asilimia kubwa ya miili yetu ni maji,.lakini kunywa mpaka wakabwe na muhogo au kwikwi...kuna mmoja nilimsikia akinambia me sipendi kwenda maliwatoni hivyo sinywi maji sana ili kuepuka kwenda huko,.aisee!!!Yaani sijui wanaishije. Dada mmoja anaumwa tumbo sasa akawa na wasiwasi hadi kaenda kumuona Dr. Katika kupimwa Dr akadai inaelekea hanywi maji kabisa akajibu ni kweli mara moja hunywa glass moja. Sasa kaambiwa anywe maji kwa wingi kwa muda wa mwezi kisha akafanyiwe ultra sound ya tumbo. Dr anahisi tatizo ni kutokunywa maji.
Na watu wa hivyo ni wasomi tena ambao wanajua asilimia kubwa ya miili yetu ni maji,.lakini kunywa mpaka wakabwe na muhogo au kwikwi...kuna mmoja nilimsikia akinambia me sipendi kwenda maliwatoni hivyo sinywi maji sana ili kuepuka kwenda huko,.aisee!!!
Inastaajabisha,.Duh! 😳😳😳😳
Lactulose 20mls stat, then 10mls bd 3 daysWatalaam wa lishe na wale wa afya ya mfumo wa chakula naomba mnisaidie kuhusiana na hili.
Yaani leo ni siku ya NNE sijaenda haja kubwa.
Sasa sijajua tatizo ni nini, nikawa na hypothesize labda nameza chakula bila kutafuna.
Labda ni vyakula nilivyokula kwa mama ntirie yawezekana kilikuwa na amira.
Yaani naonekana Nina kitambi kikubwa , sasa sijui dawa ya kwenda haja kwa kila siku
Naomba kujua dawa ya kufanya niende haja kubwa kwa wakati
Sent using Jamii Forums mobile app
Inastaajabisha,.
Mkubwa mnoo..maji safi na salama ni tiba tosha,.Sana aisee hasa ukitilia maanani maji yalivyo na umuhimu mkubwa kwa wanadamu.
Mkubwa mnoo..maji safi na salama ni tiba tosha,.
Hata mimi hapo awali sikulifahamu hili,.lakini sasa nafanya hivyo na kuongeza upande wa limao wakati wa asubuhi...Juzi juzi niliona article moja kuhusu umuhimu wa kunywa maji ukiamka tu na kabla ya kwenda kulala tena glass moja tu, hupunguza kwa kiwango kikubwa uwezekano wa kupata heart attack. Sikulijua hili kabla.