Nina siku ya nne sijaenda haja kubwa

Je upo kwako au ugenini? Maana ugenini napo mwingine unaweza kosa choo mpaka uzoee mazingira.

Kunywa maji ya vuguvugu na juice ya ukwaju.

Ukiwa unakula usiache kula matunda yenye nyuz unaweza yagoogle.
 
Hunywi maji ya kutosha, huli matunda na huli mbogamboga

Tafuta mapapai popote ulipo na ule ya kutosha

Bawasili inakunukia mkuu usipokuwa makini
 
Yaani sijui wanaishije. Dada mmoja anaumwa tumbo sasa akawa na wasiwasi hadi kaenda kumuona Dr. Katika kupimwa Dr akadai inaelekea hanywi maji kabisa akajibu ni kweli mara moja hunywa glass moja. Sasa kaambiwa anywe maji kwa wingi kwa muda wa mwezi kisha akafanyiwe ultra sound ya tumbo. Dr anahisi tatizo ni kutokunywa maji.

Kabisa kabisaa....wengine kula matunda na kunywa maji mpaka aseme dokta,.
 
Na watu wa hivyo ni wasomi tena ambao wanajua asilimia kubwa ya miili yetu ni maji,.lakini kunywa mpaka wakabwe na muhogo au kwikwi...kuna mmoja nilimsikia akinambia me sipendi kwenda maliwatoni hivyo sinywi maji sana ili kuepuka kwenda huko,.aisee!!!
 
Duh! 😳😳😳😳

 
Lactulose 20mls stat, then 10mls bd 3 days
 
mkuu wewe ndio huyo kwenye avatar yako?? pole sana mkuu kula sana mapapai na maji ya kutosha
 
Juzi juzi niliona article moja kuhusu umuhimu wa kunywa maji ukiamka tu na kabla ya kwenda kulala tena glass moja tu, hupunguza kwa kiwango kikubwa uwezekano wa kupata heart attack. Sikulijua hili kabla.
Hata mimi hapo awali sikulifahamu hili,.lakini sasa nafanya hivyo na kuongeza upande wa limao wakati wa asubuhi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…