Nina soft cop kama nusu ya kitabu cha Mashimo ya Sulemani.

Nina soft cop kama nusu ya kitabu cha Mashimo ya Sulemani.

blackstarline

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
3,278
Reaction score
7,966
Je, ni sahihi kukiweka hapa? Au maana nimetamani pia wanajukwaa tuburudike pamoja. Kitabu cha mashimo ya sulemani nikitabu bora sana japokuwa ni cha kizamani sana.
 
Kiweke mkuu tujifunzee ....wengine ndio starehe yetu kusoma vtabu
 
MKUU,

WEWE NI MUONGO,
HAUNA HIYO SOFTCOPY!!

"Katibu Mwenezi wa Wasoma Comments."
 
Hana hiyo soft copy,analeta porojo tu
 
Back
Top Bottom