Nyangeta Mussa
Senior Member
- Dec 8, 2014
- 199
- 127
- Thread starter
- #41
Kiaje mkuuNukipitia comment zako.. inaonyesha wewe ndo unasumbua stress zingekuwa zinaongea zishakupeleka mahakamani.... loading
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiaje mkuuNukipitia comment zako.. inaonyesha wewe ndo unasumbua stress zingekuwa zinaongea zishakupeleka mahakamani.... loading
tena hapa hapaMeonaeee huyu amwage tuu siri
Zinahusu nini hizo stress? Maana nijuwacho kila aina ya stress ina namna yake ya ku-deal nayoHello wanajamvi
Naomba mnisaidie ni jinsi gan naweza kuhandle stress yaan kuna muda inafika nakuwa siwezi fanya chochote
Jmn hpnhapana kabisa kuna chanzo ama umekosa dyudyu?
Sometimes hata hiyo haisaidii, sometimes sijui ni nini but unakuwa hivyo tu, mi imenitokea like two weeks nyuma nilikuwa tu sijisikii furaha kabisa, but siumwi chochote, na moyo unakuwa unastuka tu (kama ule ambao ukiona kitu cha kuogopesha) but sikuwa na feelings za kitu chochote hata mwanamke niliona kama anazingua nikimuona yaani unakuwa tu off-mood off everything. Nashukuru Mungu ile hali imepotea now.Mpigie mchumber aje mpige stories nyingi nyingi mixer vitu vingine vingine
Stress zitaisha taratibu
Mahaba ya mchumber huwa yanaponya
kumbe na ww umeiona fursa eeInabid tuanze sehemu ya ushaur tupige pesa
Mmh!Sometimes hata hiyo haisaidii, sometimes sijui ni nini but unakuwa hivyo tu, mi imenitokea like two weeks nyuma nilikuwa tu sijisikii furaha kabisa, but siumwi chochote, na moyo unakuwa unastuka tu (kama ule ambao ukiona kitu cha kuogopesha) but sikuwa na feelings za kitu chochote hata mwanamke niliona kama anazingua nikimuona yaani unakuwa tu off-mood off everything. Nashukuru Mungu ile hali imepotea now.
BUT MLETA MADA JUST TULIA JICHANGANYE NA WATU HII KITU ITAPOTEA...INGAWA NILIONGEZA NA SALA KIDOGO...MAANA HUWEZI JUA WAT NEXT
kila mahali hadi mtu akimaliza ku du utasikia kunywa maji mwananguHiyo kunywa maji mwanangu uwiiii
Nyangeta,Hello wanajamvi
Naomba mnisaidie ni jinsi gan naweza kuhandle stress yaan kuna muda inafika nakuwa siwezi fanya chochote
INBOX ME UTAPATA MBINU NA SOCIAL INTERACTION NZURIHello wanajamvi
Naomba mnisaidie ni jinsi gan naweza kuhandle stress yaan kuna muda inafika nakuwa siwezi fanya chochote
Thanks a lot for your adviceNyangeta,
Although i am not an expert in stress management but all of us at one time or the other get stressed out and some times it becomes so serious that one may contemplate on sucide too.
Tips to Help You Beat Stress Life is full of stressful things. Whether you’re stressed out for a specific reason or are just feeling beaten down in general the coping strategies are pretty much the same.
When stress starts to get the best of you take a minute or two to slow down and catch your breath. Put whatever it is that has you stressed out of your mind for a little while and try one of these stress busting techniques.
1. Get Physical
Few things combat stress as well as exercise. There are many benefits to being physically active. Exercise releases endorphins which trigger feelings of happiness and satisfaction. Exercise makes you stronger and healthier and that helps you better cope with stress.
2. Volunteer to Help Those in Need
Charity is very good for the soul and there is always important work that needs to be done. Even when helping out means getting to work it is as beneficial for those who give as it is to those who receive. Helping, like exercise, releases endorphins that increase your overall level of happiness. So lend a helping hand wherever and whenever you can.
3. Bible/Quran
These holly books are very inspirational. Even if you are not religious being in a house of god with fellow worshippers actually boost you up and often makes one realise the greatness of being a human being and how lucky we are.
4. Eat Chocolate
Unless you have an allergy to chocolate or suffer from an ailment like diabetes eating chocolate can do a stressed out body good. Again it has to do with those things called endorphins. In a 1996 study from the University of Michigan it was shown that chocolate signals the pleasure centers of the brain to release endorphins. Endorphins have a calming effect that elevates mood and aids in the reduction of stress.
5. Watch Movies
Watching a movie is something that allows people to spend time together without having to interact socially.
In terms of stress management this can be a very valuable coping behavior.
It is comforting to socialize with others but when feeling stressed out some people just want to be alone.
Going to a movie with friends gives you the comfort of being around other people while still allowing you to be alone
with your thoughts. So rally the troops and head down to your local movie theater for some together time that helps
alleviate stress
Cheki movie zile za mkono mkali,tafuta movie za mtu anaitwa Donnie Yen,stress zitakuishia,ila kama stress zako ni madeni unadaiwa kafanye kazi kwa bidii,kama stress zako ni mapenzi hamishia upendo kwa mzazi wako,kama ni masomo anza kutambua shule haiwezi kukusaidia kupata pesa huku mtaani zaidi ya bidii na ubunifu..ukisema unatatizwa na nini niite nikuje tenaHello wanajamvi
Naomba mnisaidie ni jinsi gan naweza kuhandle stress yaan kuna muda inafika nakuwa siwezi fanya chochote
Anayempenda ndio kamletea stressJaribu kukaa na watu unaowapenda