Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Hiyo ela ya kununua pombe usave ulipe kodi,ni jukumu Lako kulea mimba usipofanya hivyo utapata laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina miaka 29 sasa. Bado nimepanga.. Mchumba kapata ujauzito bila kutarajia. Anapanga aje dsm.. Nadaiwa kodi.. Kiwanja nimenunua lakn hata tofal sjaweka. Wadada niliokuwa nao wanajua nitawaoa. Hawajui kama nimempatia mtu ujauzito tayari. Ila huyu niliempatia ujauzito nashangaa mwanzo aliniambia baby akizaliwa siwez kumuona mpk nitoe mahari. Lakn sasa kawa mpole. Alikataa mwenyewe kutumia kinga. Sasa sijui alinitegeshea ujauzito. Nashangaa mimba miez3 lakn keshaenda kununua nepi,viatu n.k...nimuache? Anaumiza akil yangu. . Napatwa na stress. Nakosa ham ya kula. Natumia pombe. Nifanyeje mimi.