Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
mi nimepangwa bwafumba sec buhigwe district ambako nasikia ni mpakani na Burundi na wakimbizi washaanza kuingia kigoma sasa huko si balaa yaani mpaka naogopa kwenda
Hahaha ni kweli mkuu leo wameingia wengi sana lakini wanawapeleka kambi ya nyarugusu kwaio wewe usiwe na wasi wasi