Nina swali bandugu hasa wale jama wa team kiba

bestmale

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
3,067
Reaction score
1,805
Eti ivi ikitokeya Ali kiba akaenda kutumbwiza South Sudan ao mayotte ..ataimba kitu gani ili waweze kumuelewa?? Ao atabana puwa ajikamuwe hadi wamuelewe kama anaimba like Madonna?
 
Ongezea jibu
Hizo level ni kubwa Sana kwa kiba itakuwa umemuonea sana ili ufike uko unatakiwa ngoma yake iwe imehit sana Africa ukiangalia kiba hakuna hata ngoma yake mwaka huu uliohit ndan na nje ya nchi.
 
Kwa hio Harmonize ni bora kuliko ali kibakuli ?
 
Kwa Sasa hivi ukimtoa diamond anaefuata ni harmonize,harmo amemzidi kiba kwa kufanya vizuri kuanzia ndani Hadi nje ya nchi hata ukiangalia kiba show zake za nje ya nchi anafanyia kwenye club heshima itakujaje? Hata ukiangalia huu mwaka amepata show chache Sana harmo anafanya show kwenye sehemu ambapo kiba tokea aanze kufanya mziki hajawahi kwenda anaishia kuona kwenye ramani tu.
 
Harmonize habari nyingine blaza...ali kiba bongo ndo anajulikana...na mombasa. Tena na hawa wasanii wake ndio amezidi kuonesha wasivyoweza yaani nilikua najua ngoma yao ya rhumba ni bonge la ngoma siku nimeiskiliza nilidhani ni ngoma ya ma-underground wa enzi zile bongofleva imeanzaanza. Wabadilike kama wanataka kuwainua wale madogo na kuleta ushindani kwenye game. Tena yule Abdu kiba ndio aache kabisa kuimba maana utasema analia...na yule mwingine anabana pua kama gasho eti anaimba hata mjomba ni mama....Khaaa!
 
Kiba ni mwanamuziki mzuri ila anazidiwa na dimond kwenye mambo kadhaa,
management ya kiba inatakiwa iongeze nguvu kwenye soko,
 
Eti ivi ikitokeya Ali kiba akaenda kutumbwiza South Sudan ao mayotte ..ataimba kitu gani ili waweze kumuelewa?? Ao atabana puwa ajikamuwe hadi wamuelewe kama anaimba like Madonna?
Tupambane kufikia kupata mafanikio alonayo kuliko kutumia muda mwingi kumdhihaki.. Kumbuka miaka sio umri... Na wakati si milele
 
Kwa Sasa hivi ukimtoa diamond anaefuata ni harmonize,harmo amemzidi kiba kwa kufanya vizuri kuanzia ndani Hadi nje ya nchi hata ukiangalia kiba show zake za nje ya nchi anafanyia kwenye club heshima itakujaje? Hata ukiangalia huu mwaka amepata show chache Sana harmo anafanya show kwenye sehemu ambapo kiba tokea aanze kufanya mziki hajawahi kwenda anaishia kuona kwenye ramani tu.
Sehemu za maana harmonize amepiga show kiba hajawahi fika Ni zipi..na
Naombeni kujulishwa tfadhali
 
Nilikua simjui wala sikuwa na mpango wa kumjua mwana dada Tanasha Dona,,lkn kanadiwa weee mpaka nimemjua,
 
Kwa Sasa hivi ukimtoa diamond anaefuata ni harmonize,harmo amemzidi kiba kwa kufanya vizuri kuanzia ndani Hadi nje ya nchi hata ukiangalia kiba show zake za nje ya nchi anafanyia kwenye club heshima itakujaje? Hata ukiangalia huu mwaka amepata show chache Sana harmo anafanya show kwenye sehemu ambapo kiba tokea aanze kufanya mziki hajawahi kwenda anaishia kuona kwenye ramani tu.
Kumchukia Mtu Haimaanishi Ndo Iwe Tiketi Ya Kumsemea Mbovu Ilhali Watu Wanaona Na Wanamjua.
Hivi Wajua Kwamba Yule Kiba Pesa Anazoingiza Nyingi Zinatoka Kwenye Show?

Eti Harmo Sehemu Alizoenda Kupiga Show Alikiba Anaziota!
Tchaa! Bro Mashabiki Zake Wanamuona Na Show Zake Anazofanya Huko Zinajulikana Wazi!
Mwisho Taja Hiyo Sehemu Ambayo Harmo Ameenda Kupiga Show Na Huyo Kiba Hajawahi Kufika?

Chuki Inamaliza Adui Yako. Inakumaliza Na Wewe Pia
 
Huu muandiko napata hofu kama hata darasa la nne ulifika
Eti ivi ikitokeya Ali kiba akaenda kutumbwiza South Sudan ao mayotte ..ataimba kitu gani ili waweze kumuelewa?? Ao atabana puwa ajikamuwe hadi wamuelewe kama anaimba like Madonna?
 
South Sudan na mayotte ... Kiba ashawahi fika apo ???
Hizo zote za hapahapa..harmonize aliwahi fika ufaransa, ujerumani, Australia, na hata Sweden kupiga show..
Wanapopita Leo diamond, na wenzake wa bongo ALikiba alipita Kati ya mwaka 2007_2008..
Sioni kipya Happ..
 
Kwa Sasa hivi ukimtoa diamond anaefuata ni harmonize,harmo amemzidi kiba kwa kufanya vizuri kuanzia ndani Hadi nje ya nchi hata ukiangalia kiba show zake za nje ya nchi anafanyia kwenye club heshima itakujaje? Hata ukiangalia huu mwaka amepata show chache Sana harmo anafanya show kwenye sehemu ambapo kiba tokea aanze kufanya mziki hajawahi kwenda anaishia kuona kwenye ramani tu.
kitu flani ivi watu wanakwepa kusema but umekisema harmo now is a big artist in Africa kwenye tuzo(eg afrimma) anawania category moja na akina Davido,diamond and wizkid pia kwenye tuzo za(aeusa) mwaka Jana ameshinda category ya best north east & south male artist .ameshafanya show nyingi .pia ni top 10 most viewed artist in YouTube
 
Eti ivi ikitokeya Ali kiba akaenda kutumbwiza South Sudan ao mayotte ..ataimba kitu gani ili waweze kumuelewa?? Ao atabana puwa ajikamuwe hadi wamuelewe kama anaimba like Madonna?
swali halina mashiko.
 
Back
Top Bottom