Nina swali juu ya Sheria ya Madhara

Tonyde

New Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Mimi nilipata ajali ya gari wakati niko kazini nikavunja mkono ajari ni uzembe wa mwajiri alikuwa akitumia gari la mizigo kama staff buss na siku ya ajali aliendesha gari raia wa kigeni asiye na vigezo mwenye asili ya china

Nawezaje kudai fidia ya jumla ikiwa mwajiri ana nilipa mshahara na matibabu kwa mjibu wa mkataba. Je, naweza kuishtaki Kampuni kwa kunivunja mikono makusudi na kudai fidia kwa jumla kwa mazingira ya ajali yalivyokuwa na kunisababishia madhara?

NB. Hakuna Traffic kesi iliyofunguliwa dhidi ya mwajiri. Asante
 
Nitafute DM ntakusaidia, ni hela nyingi hizo usiziache.
 
1. Uwe unaandika kwa ukamilifu.

2. Hauna kesi hapo.
 
1. Uwe unaandika kwa ukamilifu.

2. Hauna kesi hapo.
Tarehe 8 mwez wa kwnz nilitaj ajali nikiwa kazini ajali ilihusisha gari tulilo kuwa tunalitumia kutok camp kwnda site gar lilikuwa Ni foton canter iliyo tumika Kama staff buss.wakati tunatoka site dereva alikuwa mchina kutokana na spidi alikt Kona gafra iliyo perekea Mimi na mwnzngu kuanguka mpk chini nikavnja mkono na kuumia kignja tang mwz wa 1 mpk Leo kignj hakfny kaz na mshahr wamenipngzia wananilpa nusu mshahr nashndwa kuendesha maish. Kwn cwez kufny Kaz yyte.
Ivo ndo ilivo kuwa kwann kusiwe na kesi
 
Mimi sio mwanasheria

Nahisi ilikua rahisi Kama ungekua ulipita polis kuchukua form ya matibabu PF 3 Kama sikosei na kufungua traffic case mapema lakini Sasa tunaingia May na unanufaika na chochote. Ukifungua kesi na ukashindwa hata hiyo nusu usahau.

Kibinadamu nikushauri achana nao maana hata wewe unamakosa yako yakupanda gari la mizigo huku ukiwa na akili timamu.
Hivyo kwenye kesi Kuna mengi unaweza kukuta kampuni ikawa na mwanasheria mzuri ukapigwa maswali mpaka ushangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…