Tonyde
New Member
- Apr 22, 2019
- 4
- 1
Mimi nilipata ajali ya gari wakati niko kazini nikavunja mkono ajari ni uzembe wa mwajiri alikuwa akitumia gari la mizigo kama staff buss na siku ya ajali aliendesha gari raia wa kigeni asiye na vigezo mwenye asili ya china
Nawezaje kudai fidia ya jumla ikiwa mwajiri ana nilipa mshahara na matibabu kwa mjibu wa mkataba. Je, naweza kuishtaki Kampuni kwa kunivunja mikono makusudi na kudai fidia kwa jumla kwa mazingira ya ajali yalivyokuwa na kunisababishia madhara?
NB. Hakuna Traffic kesi iliyofunguliwa dhidi ya mwajiri. Asante