Nina swali kuhusu DSE( Dar es Salaam stock exchange)

Nina swali kuhusu DSE( Dar es Salaam stock exchange)

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
843
Reaction score
1,630
Habari za muda huu wakuu, mimi nilikuwa na swali kidogo kuhusu DSE.

Hasa kuhusu namna ya kujisajili na namna ya kupata brokers.

Mwishoni mwa mwaka jana nilijisajili na nahisi nilitumiwa baadhi ya taarifa ambazo (kutokana na kutokuwa makini) nilizipoteza.

Nikajaribu kuforget password system inakuwa inaniomba CDS number which is either I don't know or I have forgotten it.

Wenye experience tafadhali.
 
Back
Top Bottom