Jaman salam,
Jamani nauliza eti jipu likitoka sehemu za siri za msichana huwa ni tatizo gani au ni dalili ya nini?Tafadhari naomba kujuzwa.
Maana yake ni kwamba ana msongo wa mawazo sana na kwamba hampendi mpenzi wake lkn anashindwa jinsi ya kumwambia, hivyo ana mawazo mengi kichwani ambayo yanapelekea yeye kupata vipele au hata majipu ikiwa ni pmj na sehemu za siri!
Ushauri!
Kama ni Mpenzi wako tafadhali msaidie na uachane naye kwani hakupendi na amekuchoka!
[
Likes Received75
Likes Given0Join Date : 14th November 2014Posts : 181
Rep Power : 340
Likes Received
75
Likes Given
0
upo serious mkuu au ugen tuu?